Tequila ni mmoja kati ya wasanii wa kike maarufu na wenye uwezo mkubwa kimuziki nchini Namibia.TEKKLA ndo jina lake halisi ila umaarufu wake wa kumililo jukwaa ndo uliowafanya mashabiki wake kumbambika jina ilo la Tequila Golden sunset.Ni miongoni mwa wasanii wa kike afrika ambaye amewahi fanya kazi nyingi na kushirikishwa na wasanii wengi wa hasa ndani ya NAMIBIA na nje ya NAMIBIA..Kwa sasa Tequila anategemea kuachia album yake ambapo matarajio yale makubwa ni kushirikiana na wasanii toka kaskazin mashariki mwa bara la afrika....
**WOMEN GO HIGHER IN AFRICA**
Home »
» NAMIBIA/TEQUILA THE GOLDENSUNSET
No comments:
Post a Comment