Tanzania leo tarehe 03/6/2013 imezinduliwa rasmi Rasimu ya katibu mpya baada ya muda mrefu watanzania walishiriki kwa umoja wao katika maoni ya katiba mpya.Rasimu iyo ya katiba mpya imetoa ufafanuzi wa mambo mengi sana mfano wa mambo yalioelekezewaa jicho zaid ni kuhusu baraza la mawaziri,speaker wa bunge.Ambapo imeelezwa kwamba baraza litakuwa na maziri 15 ambapo wote hawatokuwa wabunge na pia speakee wa bunge hatokuwa miongoni mwa wabunge na jambo la msingi pia ni kwamba katiba mpya imeondoa wabunge wa viti maarumu na pia kwamba Bunge litakuwa na wabunge 70 toka visiwani 20 na toka bara 50..
Picha chini ni makamu wa rais Mh Gharibu Biral akimkabidhi Rasimu ya katiba mpya waziri mkuu Mh:Mizengo peter Pinda.
UZINDUZI RASMI WA RASIMU YA KATIBA MPYA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, June 3, 2013 | 11:43 AM
Labels:
SIASA
No comments:
Post a Comment