Ni siku chache baada ya msanii maarufu wa kimataifa D'BANJI kutoa tamko la kumsahinisha mkataba wa B'banji record label producer OLAMIDE na kwamba anamilikiwa na label iyo kwa sasa ya DB RECORD,producer uyo amekuja juu na kukana kwamba hajasahin katika label iyo na wala hayupo katika label iyo.DB record ni label kubwa ya muziki inayomilikiwa na msanii maarufu wa kimataifa D'banji ambapo msani uyoo kwa sasa anamilikiwa na label tofauti Dunian mf:MERCURY, RCA,SONY MUSIC ENTERTAINMENTs na GOOD MUSIC...
Home »
» PRODUCER OLAMIDE AKUNUSHA KUTOSAHINI LABLE YA D'BANJI DB RECORD
No comments:
Post a Comment