Habari Mpya :
Home » » M 2 ZE P ALIA KWA UCHUNGU WAKATI WA KUMUAGA BEST WAKE ALBERT MANGWEA

M 2 ZE P ALIA KWA UCHUNGU WAKATI WA KUMUAGA BEST WAKE ALBERT MANGWEA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, June 6, 2013 | 7:02 AM

Toka viwanja vya jamuhuri amboko ndo tukio la kumuaga albert mangwea limefanyika kwa mala ya mwisho.Taarifa toka uko zimeripoti kwamba best wake M 2 ZE P ambaye walikuwa wote siku umati ukimfika albert mangwea uko southafrika na ambaye apo hawali hakutakiwa kujulishwa lolote kutokana na afya yake kutokuwa sawaa maana nae alikuwa katika mahututi siku ngwea anafariki Dunia,imeripotiwa kwamba ameangusha kilio kikubwa baada ya kuushuhudia mwili wa best wake Albert mangwea katika jeneza..Picha ni M 2 ZE P akiuaga mwili wa Ngwea na zingine akilia kwa uchungu sana...
     **R I P NGWEA**
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania