Kamati ya mazishi ya msiba wa albert mangwea imependekeza mwili wa wa msanii uyo kuagwa kwa mala ya mwisho na watanzania/wanamorogoro amvako ndo asili ya mangwea katika uwanja wa Jamuhuri.Picha chini ni maandalizi apo uwanjani na zingine ni Watanzania walivyojitokeza kwa wingi uwanjani apo kwa aajili ya kumuaga kipenzi chao Albert mangwea..
MAANDALIZI UWANJA WA JAMUHUR AMBAPO NGWEA ANAANGWA LEO KABLA YA KUZIKWA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, June 6, 2013 | 5:02 AM
Labels:
SPORTS
No comments:
Post a Comment