Baada ya kuuwaga mwili wa mwili albert mangwea jana katika viwanja vya LeaderClub jijin Dar,msafara wa kuelekea morogoro ulianza kwa ajili ya kuupeleka mwili wa Cowbama nyumbani kwao Morogoro.Taarifa zilizotufikia kwa kuchelewa zinasema majira ya saa moja jion mwili uliwasili mjini hapo ambapo leo mwili unatarajiwa kuagwa tena kwa mala ya mwisho viwanja vya Jamuhuri morogoro wananchi wameombwa kujitokeza kwa wingi..Picha chini ni gari lilokuwa limebeba mwili wa albert mangwea,Afande sele akiwapokea wageni toka Dar PFUNK na LAMAR na mwisho nisanii kitale..
Home »
» MWILI WA ALBERT MANGWEA KUWASILI JANA MOROGORO
No comments:
Post a Comment