Msemaji na mratibu mkuu wa kamati ya mazishi katika msiba wa msanii albert mangwea Adamu Juma wa Visual Lab,leo ametoa taarifa rasmi ya kuwasili kwa mwili wa msanii Albert Mangwea*Mwili wa albert Mangwea utaingia leo Dar tarehe 04/6/2013 na shirika la ndege la southafrika ivyo tunawaomba watanzania wote ambao albert mangwea alikuwa kipenzi chao kujitokeza kwa wingi uwanjani apo*amesema Adamu Juma akiwa kama msemaji mkuu wa kamati ya mazishi..
MWILI WA ALBERT MANGWEA KUINGIA KESHO DAR TOKA SOUTHAFRIKA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, June 3, 2013 | 11:57 AM
Labels:
Music
No comments:
Post a Comment