Leo majira ya mchana mwili wa msanii maarufu aliyefia afrika ya kusini atimae umewasili Tanzania na kupokelewaa kwa uzuni kubwa na ma elfu ya watanzania ambao kwao Ngwea alikuwa ni kipenzi chao kikubwa sana.Picha chini ni gari lililobeba mwili wa Marehemu polepole kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu julius nyerere na picha zingine ni mamia wakiwa barabaran wakitoa heshima zao na kuonyesha huzuni kubwa kwa kumpoteza mkali uyo wa HipHop na Frystyle..
Kila mtanzania mwenye uwezo amejitahidi kununua tshirt yenye picha ya Marehemu Albert Mangwea na kujuu imeandikwa..
*R I P NGWEA*
Kila mtanzania mwenye uwezo amejitahidi kununua tshirt yenye picha ya Marehemu Albert Mangwea na kujuu imeandikwa..
*R I P NGWEA*
No comments:
Post a Comment