Dakika chache zilizopita mwili wa msanii albert mangewa umewasili viwanja vya leaders club jijin dar es salaam kwa ajili ya watanzania kuweza kumuaga msanii wao kipenzi aliyefia uko southafrika week moja iliyopita.Ratiba iliyopangwa ni kwamba baada ya kuuwaga katika viwanja ivyoo ambapo zoez ilo linatarajiwa kufanyika mpaka majira ha saa sita mchana,baada ya hapo msafara utaanza safari kuelekea morogoro ambako ndo nyumbani kwa marehemu albert mangwea kwa ajili ya kwenda kupumzishwa katika nyumba yake ya milele..
*R I P COWBAMA**
*R I P COWBAMA**
No comments:
Post a Comment