Hiki ndo alichotueleza msanii hussein machozi kupitia mahojiano yetu na yeye kupitia Viber.
AFRICASTEP. Hussein ni kweli umehamia kenya?
Hussein: HApana sijahamia kenya ila niko shule nasoma kujiweka kimataifa zaid.
AFRICASTEP: Vp kuhusu muziki ndo umeacha au?
Hussein: Muziki uko kwenye damu nimekaa kimya kuwapa nafasi waongeaji ila niko jikoni napika kitu hatari soon mtakipata.
No comments:
Post a Comment