Habari Mpya :
Home » , » HII NI KUTOKA (CAREUSA care.org) VITA DHIDI YA NDOA KWA WATOTO WADOGO WA KIKE

HII NI KUTOKA (CAREUSA care.org) VITA DHIDI YA NDOA KWA WATOTO WADOGO WA KIKE

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, July 23, 2014 | 6:01 AM

Mtandao wa CAREUSA au care.Org wanaharakati wanaopinga manyanyaso ya kijinsia na kusaidia jamii zinazoishi katika mazingira magumu.Care wamelaani vikali vitendo vinavyofanyika katika jamii ya watu wa Ethiopia ambapo watoto wadogo wa kike wanaolewa katika umri mdogo jambo ambalo wameeleza ni jambo la kikatiri ambalo linamdidimiza mtoto wa kike na kumnyina haki zake za msingi kama elimu, vile vile wameeleza kwamba vitendo ivyo vinachangia ongezeko la umaskini katika taifa lolote lile. Picha chini ni binti mwenye umri wa miaka 10 ambae amepigwa picha akiwa na mumewe mwenye miaka 22.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania