Habari Mpya :
Home » , , » KILI MUSIC TOUR NDANI YA DODOMA LEO (ZUNGUSHAKIKWETUKWETU)

KILI MUSIC TOUR NDANI YA DODOMA LEO (ZUNGUSHAKIKWETUKWETU)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, August 16, 2014 | 4:20 PM

Hivyi ndo umati wa watu ulivyojitokeza leo katika kushuhudia shangwe za kili music tour ndani ya viwanja vya jamuhuri dodoma.Picha inaonyesha pande nne za viwanja vya jamuhuri na jinsi watu walivyomiminikaa katika burudani ambayo imeongozana na wasanii mahiri tanzania wa muzik wa Bongo flava kama mdada shilole, weusi, ben pol, izo business n.k na taarabu malkia wa mipasho khadija kopa.Burudani hizi zinatembezwa katika mikoa tofauti kwa udhamin mkubwa wa Kampuni ya bia Tanzania Kilimanjaro.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania