BAADA YA ILE YA MTOTO WA RAIS WA KWANZA NA MUHASISI WA TAIFA LA ZANZIBAR
ABEDI AMANI KARUME NA MTOTO WAKE AMANI ABEDI KARUME KUWA RAIS PIA WA ZANZIBAR.MTOTO WA RAIS WA ZAMAN NA WA KWANZA NCHINI KENYA UHURU KENYATA MTOTOWA HAYATI JOMO KENYATA KUSHINDA KATIKA URAIS WA KENYA MWANZON MWA MWAKA HUU NA KUMALIZIKA MWISHO MWA MWEZI WA PILI 2013.UHURU KENYATA AMBAYE ALIMWAGA MPINZANI WAKE RAILA ODINGA WA ODM AMBAYE PIA NI MTOTO WA MAKAMU WA RAIS WA KWANZA KENYA JALAMOGI OGINGA ODINGA....
HII NI HISTORIA KUBWA NA TUNAAMIN UCHAGUZI ULIKUWA WA AMANI NA HAKI...


JOMO KENYATA
UHURU KINYATA ON SWORN DAY AS KENYA PRESIDENT
ALL THE BEST UHURU KENYATA IN YOUR NEW HARD POSITION..