Habari mpya
(GOLD CABUN LINK CHAIN) HII NDO CHAIN YENYE UZITO WA KILO 5 ANAYOIMILIKI JAY Z IMENUNULIWA KWA POUND 11
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, April 7, 2014 | 8:09 AM
KANUMBA DAY LEO NDANI YA DAR LIVE MBAGARA
LEO IKIWA IMETIMIA MIAKA MIWILI TANGU NGULI WA FILAMU NCHINI TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA STEVEN KANUMBA AMEFARIKI LEO MAAZIMISHO HAYO YANAFANYIKA PALE DAR LIVE MBAGARA.KINACHOFANYIKA NI UCHANGISHAJI WA PESA KWA AJILI YA KANUMBA FOUNDATION MFUKO WA KANUMBA KWA AJJILI YA KUKUZA VIPAJI.
RATIBA:WATOTO WATAONYESHA VIPAJI VYAO UKU WENGINE WAKIMUIGIZA KANUMBA.
BURUDANI:TUNDA MAN,CHEGE NA TEMBA,TWANGA PEPETA NA WENGINE KIBAO
SUPPORT:WASANII MBALIMBALI WANATARAJIWA KUUDHURIA TUKIO ILO AKIWEMO WEMA SEPETU, AUNT EZEKIEL,DUDE, LULU, PANCHO MWAMBA
REST IN PEACE STEVEN KANUMBA
MAFIKIZOLO KUTENGENEZA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA WENYE NENO LA KISWAHILI (NAKUPENDA)

Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ambalo lipo nchini kwajili ya show moja itakayofanyika leo Mlimani City, lina mpango wa kufanya video ya wimbo wao mpya ‘Nakupenda’ hapa Tanzania kabla ya kuondoka.
“Tungependa kufanya video ya Nakupenda hapa Dar kwani jina la wimbo ni la kiswahili na itapendeza hivyo, bado hatujapata director wa kufanya video hii ila ndio mpango wetu”
Pia Mafikizolo wamesema wamefanya mabadiliko makubwa katika muziki wao ili kukidhi haja za bara zima la Afrika.
“mabadiliko ya muziki wetu yalifanyika ili kuteka soko la bara lote la Africa na zaidi ikiwezekana ndio maana Khona na Happiness zina miondoka tofauti”. Alisema Nhlanhla Nciza
Katika hatua nyingine Mafikizolo wamethibitisha kuwa wanampango wa kufanya kazi na msanii mkubwa kutoka Tanzania atakaye tajwa hivi karibuni na collabo hii ndio chanzo cha kuboresha mahusiano mazuri na wasanii wa Tanzania.
HII NDO PICHA YA MWILI WA FILAUN LAANATUALLAH
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, March 26, 2014 | 7:43 AM
IVYI NDO MSANII PASHA ALIVYOWAKOSHA MASHABIKI WAKE JANA KATIKA USIKU WA UMENIWEZA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, March 23, 2014 | 2:37 AM
(BURUDANI)KWA MALA YA KWANZA OMMY DIMPOZ KUKINUKISHA MUSCAT OMAN
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, March 21, 2014 | 11:11 PM
(HUSSEIN MACHOZI)HIKI NDO ALICHOZUNGUMZA KUHUSU KIMYA CHAKE
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, March 20, 2014 | 4:45 AM
Hiki ndo alichotueleza msanii hussein machozi kupitia mahojiano yetu na yeye kupitia Viber.
AFRICASTEP. Hussein ni kweli umehamia kenya?
Hussein: HApana sijahamia kenya ila niko shule nasoma kujiweka kimataifa zaid.
AFRICASTEP: Vp kuhusu muziki ndo umeacha au?
Hussein: Muziki uko kwenye damu nimekaa kimya kuwapa nafasi waongeaji ila niko jikoni napika kitu hatari soon mtakipata.
(GOSSIP STORIES)ROBBIN APEWA NAFASI NYINGINE NA MKEWE PAULA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, March 10, 2014 | 9:06 AM
(STORY BOMBA MWAKA 2012)MAPACHA WALIOJIFUNGUA SIKU MOJA NA MMOJA KUZAA MAPACHA
toka jimbo la south carolina USA wote wakiwa na umri wa miaka 20 tu walijikuja wakijifungua siku moja katika hospital moja na wote wakiwa chini ya uangalizi wa Dr mmoha kwa jina ni Dr James Ferguson mnamo tarehe 24 july mwaka 2012.Tukio la kushangza ilo lilianza baada ya mapacha hao ndani ya week moja wote kupata ujauzito kitendo ambacho kiliwashangaza wengi na hakikuwa kitendo cha kupangwa alisema Shaakira.Wakati wa kujifungua alitakiwa kuanza kujifungua Shaakira majiya ya saa 5:30 lakini kwa bahati mbaya Dr james Ferguson wakati huo alikuwa akihudumia mgonjwa mwingine ivyo akachelewa kumzalisha Shaakira lakin bila kutegemea ndugu yake Zaakira alijifungua mwanae Kadin Zaaka na baadab ya saa moja pacha wake White alijifungua mapacha Landon Elijah na London Elise.Hiki ndo alichokisema
Dr James Ferguson kuelezea tukio ilo la maajabu.(“I’ve never seen twins being pregnant at the same time!” said Dr. James Ferguson.
Dr. Ferguson is still getting over the fact the sisters just shared their pregnancies. He said he couldn’t believe it when they both showed up Tuesday and went into labor.)
SHAAKIRA NA ZAAKIRA BAADA YA KUJIFUNGUA
WAKIWA NA WATOTO WAO
WAKIWA NA WAUME ZAO
IPIGIE KURA NYIMBO(NTALIA)YA MSANII KEIZER ISHINDE(KILL MUSIC AWARDS WIMBO BORA MSANII CHIPUKIZI)
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, February 27, 2014 | 5:55 AM
Ntalia ni nyimbi miongoni mwa nyimbo nzuri zinazotamba kwa sasa. Nyimbo inamilikiwa na kijana mchanga anayechipukia katika tasnia ya muziki wa Tanzania @keizer. Hapa ni maombi yake kwenu ili mumpigie kumpigia kura nyimbo ya Ntalia ishinde kipengele cha wimbo bora msanii chipukizi katika tuzo za Kill music awards. Support yenu inaitajika sana.
✪PAPA FRANCIS✪NINA JEZI NYINGI KWA SABABU NAUPENDA MPIRA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, February 26, 2014 | 5:04 AM
Huu ndo ukweli wa mapenzi makubwa aliyonayo mtumishi wa mungu kiongozi wa kanisa la RC dunian PAPA francis na mchezo wa kandanda au mpira. Papa francis akiwa mmoja kati ya mashabiki wakubwa wa mpira ameweza kupewa jezi nyingi sana na team mbali mbali dunian kuliko mtu yeyote yule ikiwa ni jezi za Team za Taifa na Vilabu kama anavyoonekana katika picha alikabidhiwa Jezi izo tofauti tofauti.
PICHA ZA MAZISHI NA HESHIMA KUBWA YA MWISHO ALIYOPEWA KUMLO DUMOR ALIYEKUWA MWAHABARI WA BBC
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, February 24, 2014 | 8:57 PM
Toka Acra ghana baada ya siku tatu mfurulizo za maombelezo hatimae apo jana Nguri wa habari wa television BBC Kumlo dumor aliyefariki dunia mnamo tarehe 18 january 2014 kwa mshtuko wa moyo ameweza agwa rasmi na kusaliwa kwa dhehebu lake la Rc pia kusaliwa kimira kwa tamaduni za watu wa Ghana na na kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele.Kumlo Dumor alijipatia umaarufu mkubwa katika umahiri wake wa utangazaji na kujipatia sifa kubwa baran Africa na dunia nzima.

