Habari Mpya :

Habari mpya

Showing posts with label Videos. Show all posts
Showing posts with label Videos. Show all posts

TAZAMA VIDEO MPYA TOKA KWA SHILOLE-CHUNA BUZI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, March 28, 2014 | 8:01 AM

shishi-chuna-buzi-1

Mbali na kuwa ni video mpya lakini ni video ambayo inaingia kwenye headline hasa hapa zilipofanywa video mbili ambazo zote zimetayarishwa na Director mmoja,Chuna Buzi ndiyo jina la wimbo huu ambao mbali na kuwa kwenye wimbo siku chache zilizopita Shilole ali-amplify taarifa za kufungua mgahawa wenye jina hilo.
Audio imefanywa kwa Mazuu pale Mazuu Records na video imefanywa na Nisher ambaye ndiye alie Direct video yake ya wimbo wake uliopita wa Nakomaa na Jiji.

(TANZANIA MUSIC VIDEO) D KNOB FT MWASITI - NISHIKE MKONO

                             TUMIA DAKIKA CHACHE KUANGALIA VIDEO HII TOKA TANZANIA

IPIGIE KURA NYIMBO(NTALIA)YA MSANII KEIZER ISHINDE(KILL MUSIC AWARDS WIMBO BORA MSANII CHIPUKIZI)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, February 27, 2014 | 5:55 AM

Ntalia ni nyimbi miongoni mwa nyimbo nzuri zinazotamba kwa sasa. Nyimbo inamilikiwa na kijana mchanga anayechipukia katika tasnia ya muziki wa Tanzania @keizer. Hapa ni maombi yake kwenu ili mumpigie kumpigia kura nyimbo ya Ntalia ishinde kipengele cha wimbo bora msanii chipukizi katika tuzo za Kill music awards. Support yenu inaitajika sana. 

VIDEO BORA YA MWANZO WA MWAKA 2014 /MRS SUPERSTAR BY YOUNG KILLER MSODOKI FT BRIGHT & NEMO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, February 24, 2014 | 6:53 AM

TUMIA MUDA WAKO MCHAKE KUTAZAMA HII VIDEO NI NOOMAA AISEE. Artist:YoungKillerMsodoki ft Bright & nemo Song:Mrs SuperStar Producer: Monaganster @Classic Sound Director:AJ

TAZAMA VIDEO NAMNA MCHUNGAJI JAMIE COOTS ALIVYOKUWA AKICHEZA NA NYOKA KANISANI KWAKE ALIYESABABISHA KIFO CHAKE

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, February 23, 2014 | 11:35 AM

HABARI KUHUSU MCHUNGAJI JAMIE COOTS ALIYEFARIKI KWA KUGONGWA NA NYOKA WAKE AMBAE UMTUMIA WAKATIA WA IBADA ZAKE KANISANI KWAKE.TAARIFA ZAID ZIMEELEZWA KWAMBA JAMIE BAADA YA KUGONGWA NA NYOKA UYO ALIONDOKA MOJA KWA MOJA KUELEKEA KWAKE NA KWAMBA ALIKATAA MATIBABU KILICHOPELEKEA KIFO CHAKE. MBALI NA KIFO CHA MCHUNGAJI UYO MWANAE WA KIUME AMEENDELEA KUMTUMIA NYOKA UYOUYO KATIKA IBADA ZA KANISANI APO. HI VIDEO INAONYESHA JINSI NYOKA UYO ALIVYOMGONGA MCHUNGAJI JAMIE NA KISHA JAMIE KUONDOKA KANISANI APO.

SWAHILIWOOD YAZIDI KUKUA NA KUPEWA HESHIMA KUBWA SOKONI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, February 22, 2014 | 5:24 AM

SWAHILIWOOD Premiere Night. Guests take their time before the big screen to watch Mdundiko film launched on Thursday at Century Cinemax – Oysterbay, Dar es Salaam. All the films were screened to give guests their first hand experience on the quality and message delivered from the Swahiliwood project. (Photos by a correspondent) 


Ijuma ya juzi ilikuwa ni siku ambayo (MFDI) au media for development international ilifungua sherehe za SwahiliWood kwa kuachia filamu mpya za kitanzania za kiswahili.Filamu tatu kati ya zile zilizoachiwa live
kwa rangi nzuri kabisa ni pamoja na SUNSHINE ambayo Star wake mkubwa ni msanii Ben Pol,zingine ni Mdundiko na NETWOK.Muungano huo wa Filamu za kiswahili wa SwahiliWood pia iyo siku uliweza kutamka rasmi juu ya hati miliki ya kazi za wasanii na kuwaomba wasanii wote Tanzania sio msanii wa BongoFlava na wale wa BONGOMOVIE kuungana na kuakikisha wasanii wa tanzania wanapata hatimiliki ya kazi zao.Kati ya wasanii wakongwe waliousindikiza usiku huo katika tasnia ya Filamu ni pamoja na Jb,Cheni,Shilole na Ray kigosi.

GOOD VIDEO:2FACE FT T .PAIN -(RAINBOW)

GOOD MUSIC/VIDEO:CHIDINMA -Emi ni baller

AKILI ZA USIKU BY COUNTRYWIZY FT YOUNG D & YOUNG KILLER

MOJA KATI YA VIDEO BOMBA NA ZENYE UBORA WA HAKI YA JUU. #AKILIZAUSIKI @COUNTRYBOYWIZY FT YOUNG D,Young Killer Msodoki Production:KIRI RECORDS @MTU CHE

EXCLUSIVE VIDEO:MAMA AFRICA BY BLACKET

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, January 27, 2014 | 12:18 PM

NEW UPCOMING MOVIES TO BE RELEASED THIS YEAR 2014

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, January 26, 2014 | 5:34 AM

This Year in Movies - 2014 will once again be a year of sequels and remakes. There will be over 20 movie sequels in 2014, including Transformers 4: Age of Extinction, Dawn of the Planet of the Apes, The Expendables 2, Captain America: The Winter Soldier, X-Men Days of Future, Night at the Museum 3, The Hobbit: There and Back Again, The Amazing Spider-Man, 22 Jump Street and 300: Rise of An Empire, among others. Expect remakes of Godzilla, Robocop, Annie and Pinocchio on the big screen too.
                                        
                                        JANUARY




Sinbad: The Fifth Voyage poster The Legend of Hercules posterLone Survivor posterThat Awkward Moment posterI, Frankenstein poster

                           FEBRUARY
Endless Love posterThe Son of God posterWinter's Tale posterPompeii posterVampire Academy poster

CBH FT WITNESZ AND OCHU SHEGGY-OFFICIAL VIDEO(NADATA NA WEWE)

WAJUE CAPITAL DREAMS PICTURE WATENGENEZAJI WA VIDEO BORA AFRICA CHINA YA DIRECTOR(CLARENCE PETER)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, January 25, 2014 | 7:56 AM

CAPITAL DREAMS PICTURE wenye makazi yao Nigeria Lagos ni kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa Video na matangazo ya Television nchini Nigeria ikiwa chini ya usimamizi wa Director Number Moja Africa kwa utengenezaji wa Video nzuri kwa jina Clarence Peter.Capita Dream Picture imejichukulia umaaarufu mkubwa sana na kupata sifa nyingi sana kama kampuni bora inayoongoza kwa kute ngeneza video bora za wasanii wakubwa wa Nigeria na ata nje ya Nigeria.Kati ya wasanii wakubwa wa Nigeria ambao wameishafanya kazi nzuri na Capital Dreams Picture Shoooter na Director akiwa ni Clarence Peter ni pamoja na P-square, Banky-W 2face Idibia na wengine wengi nchini hapo.Kwa upande wa nje ya Nigeria ni pamoja na Tanzania ambapo ameweza kufanya kazi na msanii Diamond Platnumz alliyeshawishika na kazi ya kampuni iyo ya Kibao cha ARINGO cha P-square na kutengenezewa Video yake mpya inayotamba kwa sasa ya NUMBER ONE REMIX akiwa na msanii toka Nigeria DAVIDO.

Wafuate Capital Dreams Picture katika ukurasa wao wa Faceboook ***CApital Dreams Picture***
website yao hii hapa kama wataaka Video Bomba www.capitaldreamspicture.com

Katika picha ni Clarence Peter Director na shooter wa Capital Dream Picture akifanya kazi zake moja katika picha yuko na msanii wa kimataifa 2face wakiwa katika uandaaji wa Video mpya ya 2face Idibia

HIKI NDO KILICHOWAHI KUMKUMBA DIRECTOR WA NUMBER ONE REMIX (CLARENCE PETER WA CAPITAL DREAMS PICTURE)


 




                                                       CLARENCE PETER/DIRECTOR

Two brothers,Uwana and Akan Victor,have sued Clarence Peters,son of Juju maestro,Sir Shina Peters,at a Federal High Court,Ikeja Lagos,for allegedly pirating a video he directed and produced for them in 2008.

The Victors,both Lagos based musicians,are seeking N40m as compensation and general damages from Clarence,a musical video director and producer,for allegedly using the clips and extracts from the said video without their authority or consent.

The brothers claimed that Clarence “manipulated and pirated” the said video,titled,”Make Money Flow” into “Waconzy’s ‘I Celebrate,” despite paying him for the services he rendered to them.

In their statement of claim filed by their lawyer,Mr.Yemi Omodele,the plaintiffs said they paid Clarence the sum of N900,000 for the shooting of “Make Money Flow”,and a separate sum of N650,000 for logistics and other expenses incurred in the process.

The plaintiffs claimed there was no written agreement for the transaction between them and Clarence because of the working relationship they had had with him.

They said,on February 27,2011 at about 4.30pm while watching Hitv cable station,they saw a video titled,I Celebrate” video being played on air.They added that they later discovered that the “I Celebrate” video contained substantial part of their”Make Money Flow”.

However,Clarence,in his statement of defence,said the plaintiffs only paid him N800,000 in two instalments-N650,000 and N150,000.

Clarence,whose recording studio is Capital Dreams Pictures,Lagos,admitted producing “I Celebrate” but said it did not infringe on the copyrights attached to the “Make Money Flow”.

He maintained that the copyright to the production of the video belonged to him.Clarence said he had an agreement with the plaintiffs to retain the creative and authorship right,when they pleaded to pay him the sum of N800,000 for the production instead of N1.6m he initially charged them.

Justice Steven Adah has adjourned the matter until December 1 for trial. 

NEWS

Other related Articles »
 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania