Habari Mpya :
Home » , , » HALI HALISI YA MLIPUKO WA BOMU UKO HARUSHA NDO HII

HALI HALISI YA MLIPUKO WA BOMU UKO HARUSHA NDO HII

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, June 18, 2013 | 2:39 PM

Habari kutoka arusha zinasema vurugu kubwa na bomu kulipuliwa leo katika eneo la soweto ambapo sababu haswaaa kubwaa Baada ya askari kutaka kuzuia mkutano wa chadema leo Arusha ndipo raia walipoanza kuwaponda kwa mawe askari wote na askari kuamua kutumia bomu ya machozi ili kuwasambaratisha.Katika 6Tukio ilo imatolewaa taarifa kwamba Mbunge wa singida vijijin Tundu Lisu ameumia vibaya ivyo kapelekwa hospitali na baadhi wa ya raia walioumia...Tanzania inapoelekea ni kubaya swali la kila mtu ni je siasa kama hizi zinamatumain kwetu au zinaatarisha maisha yetu??serikali imeombwa na Jamii yakitanzania kuangalia nini na nini kifanyikeee kurudisha Aman tena Arusha???

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania