Toka southafrika imeripotiwa kwamba rais mstaaafu Nelson mandela ameweza kufumbua Macho na kutabasamu baada ya mwanae ZINDIZ MANDELA kumwambia kuhusu ujioo wa rais wa marekani Baraka Obama.Rais Baraka Obama ndo rais wa kwanza mweusi kumiliki ikuru ya Taifa la marekani.
 
 
No comments:
Post a Comment