Habari Mpya :
Home » » NELSON MANDELA ANAENDELEA VIZURI

NELSON MANDELA ANAENDELEA VIZURI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, June 20, 2013 | 4:42 AM

iSouth Africans show support for ailing Nelson Mandela

Habari toka kwa mtoto wa Mandela ajukanae ZENANI MANDELA ambae apoo majuzi alilipotiwa akisema MADIBA anaendelea vizuri kwa sasa.Nelson mandela ambaye ndo mkombozi wa southafrica
hasahasa aliyewakomboa katika ubaguzi wa RANGI(APARTHEID)dhidi ya mbaburu.Habari za kwamba
Mandella anaendelea vizuri zimerudisha furaha upya na sherehe mbalimbali zimeonekana zikifanyika SOWETO pemben mwa JOHNESBURG ambako ndo mapigano ya ukombozi yallifanyika wakati huo.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania