Imeelezwa kwamba umoja wa mataifa umefanikiwa kwa asilimia kubwa sana kutokomeza kitendo icho
cha kuwatahili wasichana na wanawake ambacho ufanywa na baadhi ya makabila afgrica yakiwa na dhana ya kumuepusha mtoto wa kike na vetendo vya ngono akiwa bado mdogo na kutunza bikira za wasichana.Japo umoja wa mataifa umefanikiwa kwa asilimia kubwa lakini imesemekana bado wanawake wengi na watoto wa kike hasa wa africa na wale wa mashariki ya kati bado wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na kitendo icho cha tohara kuendelea kufanywa japo sio kwa asilimia kubwa lakini kwa umoja wa kimataifa kitendo icho ni kinyume cha haki za kibinaadamu.


No comments:
Post a Comment