Habari Mpya :
Home » » POLIO YAZUKA TENA SOMALIA

POLIO YAZUKA TENA SOMALIA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, July 22, 2013 | 8:07 AM


 imeripotiwa na shirika la kimataifa la kupambana na kutoa elimu ya ugonjwa wa polio lijulikanalo kama Polio Global Eradication Iniitiative kwamba kwa mwaka wa 2013 taarifa 65 za kuonea kwa ugonjwa huo nchini somalia zimerepotia katika shirika ilo na pia kesi nane zimerepotia kutoka kenya nchi jirani mwa somalia.Mlipuko huo mkubwa wa polio umeripotiwa kuenea hasa na kwamba nchi zilizo ukanda wa HORN OF AFRICA ziko katika hatari kubwa ya maambukizi makubwa ya ugonjwa huo kutokana na sababu kwamba maambukizi yamekuwa makubwa kuliko kinga.Polio ikiwa ni ugonjwa unaoambukizwa na kirusi kinachopatikana katika kinyesi cha mtu mwenye ugonjwa huo au kula na kunywa chakula chenye virusi ivyo au chakula ambacho hakijaiva vizuri.Kampeni za kusambaza kinga dhidi ya polio zimeanza kufanyika hasa katika nchini zilizo ukanda wa horn of africa yani Ethiopia na yemen.Imeelezwa kwamba dalili kubwa za mtu mwenye ugonjwa wa polio ujisikia homa za mala kwa mala, kichefuchefu, kikohozi, shingo au mgongo kuuma na pia upoteza nguvu za misuli N.K
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania