Mwanasheria Mkuu wa kampuni ya simu ya mkononi Tigo Bw. Tumaini Shija akikata utepe kuzindua tawi jipya la Tigo iliyopo Tegeta Kibaoni, wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja wa Tigo Bw. Zaem Khan na kulia ni Mtaalamu wa Huduma kwa Wateja wa Tigo Bw. Jackson Jerry.
Mwanasheria Mkuu wa kampuni ya simu ya mkononi Tigo Bw. Tumaini Shija (wapili kushoto) akipewa maelezo toka kwa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja Bw. Zaem Khan (kulia) juu ya huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tawi jipya lililofunguliwa Tegeta kibaoni ambayo ndio tawi kubwa kuliko yote Tanzania nzima.
No comments:
Post a Comment