Habari Mpya :
Home » » WAFANYAKAZI WAANDAMANA JANA TORONTO KUTAKA MSHAHARA KUONGEZWA TOKA $10.25 MPAKA $14 KWA SAA

WAFANYAKAZI WAANDAMANA JANA TORONTO KUTAKA MSHAHARA KUONGEZWA TOKA $10.25 MPAKA $14 KWA SAA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, September 15, 2013 | 1:48 AM


 


 Kundi la watu zaid ya 100 limejitokeza apo jana majira ya jion magharib mwa toronto kuandamana kuelekea nje kidogo  mwa Daffen Mall uku baadhi wakiwa na mapulizo na wengine wakiwa na mabango na wengine wakiwa wamevaa Tshirt zillizoandikwa maandishi makubwa ya MSHAHARA MZURI.Dhamuni kubwa la maandamano ayo ya wafanyakzi hao ilikuwa ni kutaka ongezeko la mshahara toka ule wa sasa ambao ni $10.25 mpaka $14 kwa saa, ambapo imeelezwa mshahara wa $10.25 haujafanyiwa mabadiliko tangu ulipopiitishwa mwaka 2010.Muongozaji wa maandamano hayo ameseme mshahara huo wa sasa unamuacha mfanyakazi katika dimbwi la umaskini ata kama angekuwa anafanya kazi masaa yote.Sonia singgh mmoja wa wafanyakazi amekaliliwa akisema mshahara huo wa $10.25 bado unamuacha mfanyakzi katika asilimia 20% chini bado maskin ambappo ni kama dollar za kimarekani $19000 kwa mwaka mzika.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania