Wakati Dunia ikiendelea kuomboloza kifo cha mtetezi wa haki z binadam dunian Rais wa zaman wa afrika ya kusini Hayati Nelson Mandelea aliyefariki juzi rais jocob Zuma ametangaza Ratiba rasmi ya mazishi yake.Mwiili wa nelson unatarajiwa kuzikwa na kupumzishwa tarehe 15 Jumapili kijijin kwake Qunu Nje kidogo mwa jiji la Cape town.Zuma masa.kutakuwa na siku 10 za maombolezo akiendelea kutangaza ratiba kasema jumapili ya tarehe 8 itakuwa ni siku ya kitaifa kwa ajili ya ibada ya kumuombea hayati Nelson Mandela,Tarehe 10 itakuwa ni shughuli maalum kwa ajili ya maombolezo ya kiongozi uyo katika uwanja wa FNB johannesburg africa ya kusini.Mnamo tarehe 11 mpaka 12 december mwili wa mandela utapelekwaa katika Jengo la muungano lililo pretoria ambalo alifanyia kazi zakw wakati alipokuwa rais wa kwanza wa Africana ya kusin baada ya hapo sala na maombelezo vitaendelea mbapa mazishi yatakapofanyika iyo tarehw 15 december..


No comments:
Post a Comment