Habari Mpya :
Home » , , » MACKLEMORE AKILI USHINDI WA GRAMMY ALBUM BORA ALITAKIWA APEWE KENDRICK LAMAR

MACKLEMORE AKILI USHINDI WA GRAMMY ALBUM BORA ALITAKIWA APEWE KENDRICK LAMAR

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, January 27, 2014 | 3:24 AM

Ni baada ya tukio la utoaji tuzo za grammy jana na kwa upande wa Hip hop akaibuka MackLemore kama mshindi wa grammy awards nne zote za hiphop ikiwemo ile ya msanii chipukizi ikiwa ndani bora wa hip hop dunian Kendrick lamar akiishia kutoa show nzuri jukwaan na kukosa tuzo ata moja.Macklemore ameandika maneno haye katika picha kwenda kwa kendrick lamar na kendrick lamar akajibu kama ifuatavyo.

Hape Macklemore akiwa kashika Grammy certificate kuonyesha ushindi wake mnono wa tuzo nne mfurulizo
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania