Rais Yoweri MsevenAKISAINI MSWADA WA KUPINGA NDOA ZA KISHOGA
BAADHI YA MASHOGA WAKILIA BAADA YA TUKIO ILO
Hatimae Mseven nae asaini mswada wa kukataa ndoa za Kishoga katika nchi ya uganda mbali na shinikizo
la serikali ya marekani kutaka jamii iyo ya mashoga au wanaume wa jinsia moja kuoana kama ilivyo chi za magharibi ikiwepo marekani na uingereza na kwamba serikali iyo isipofanya ivyo basi itavurruga mahusiano kati yake na taifa ilo kubwa ulimwenguni. Rais mseven amesaini mswada huo tayari kuwa sheria katika
ikulu yake uko mjini Entebe Kil 32 toka jiji la Kampala leo tarehe 24/02/2014.
 

 

No comments:
Post a Comment