Habari Mpya :
Home » , , , , » SIMON COWELL NA MKEWE LAUREN KASHFA YA KUMZUNGUSHA VIWANJANI MTOTO WAO ERICK AKIWA NA SIKU KUMI

SIMON COWELL NA MKEWE LAUREN KASHFA YA KUMZUNGUSHA VIWANJANI MTOTO WAO ERICK AKIWA NA SIKU KUMI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, February 24, 2014 | 8:31 AM



0224_beach_babe_launch0224_beach_babe_dog_licking_sub_2
Toka  marekani JUDGE anayewika katika kipindi cha shindano la Kuimba na kucheza kinachorushwa katika luninga tofauti ulimwenguzi SIMON COWELL amekumbwa na skendo mbaya ya kwenda kinyume na ushauri wa madactari mbalimbali juu ya mwane mchanga Eric ambae anasiku kumi tuu tangu kuzaliwa kwake.Simon
amekumbwa na kashfa iyo baada ya kupanda na Jett na mwanae uyo kuelekea Miami kwa ajili ya kufurahi
na familia yake katika fukwe za bahari na jua ambapo kitendo icho kimesemekana ni kinyume na hatari kwa afya wa mtoto uyo mdogo.Madaktali katoka ushauri wao wanasema(mtoto mchanga hatakiwi kutolewa nje
katika Jua mpaka kipindi cha miezi sita na kumvalisha nguo za kuzuia jua sio suruhisho.Pia wamesema kwamba kwa mtoto mdogo kama uyo ni virahisi sana kuvamiwa na wadudu wanaoruka ambao wanaweza kumuimgia puani na kumfanya kushindwa kupumua vyema.

                     Simon umebugi, Source:TMZ
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania