Habari Mpya :
Home » » POPE-BENEDICT XVI ATANGAZA KUJIUDHURU LEO IFIKAPO TAREHE 28 FEB

POPE-BENEDICT XVI ATANGAZA KUJIUDHURU LEO IFIKAPO TAREHE 28 FEB

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, February 11, 2013 | 7:13 AM

Pope-Benedict akiwa kama kiongozi wa dhehebu la catholicdunian nzima ametangaza leo jumatatu kujiudhuruifikapo tarehe 28 mwezi huu.Habari kamili shuka chini ya picha hizi



POPE KIPINDI AKIINGIA MADALAKAN
 




 












POPE KATIKA MAOMBI


















WAKATI WA MAJUKUMU


 
 





JUZI AKIKALIBIA KUJIUDHURU


 
Leo ikiwa Tarehe 11 jumatatu ya mwezi wa pili mwaka 2013 imeweka historia kubwa katika Taifa la Vatican baada ya
pope-benedict wa kumi na sita kutangaza kujivua madaraka hayo ifikapo Tarehe 28feb na hii ni kutokana na kudhoofika kutokana
na umri mkubwa alionao miaka 85.Ni takriban karne sita na zaid mpaka leo haijawahi kutokea pope yoyote kujiudhuru ivyo kaweka
historia ya pekee baada ya kudumu kwa miaka Nane katka office yake
tang achaguliwe kuongoza taifa la Vatican na dhehebu la cathoric dunian.







Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania