Hii ndo Ranch ya Taifa letu la tanzania enzi izoo
kabla ya kugeuzwa kuwa eneo la kilimo kwanza,seheme ni kubwa sana
na eneo ni kubwa kiasi kwamba watu wa kawaida na baadhi ya viongozi
wa vyama nyetu hapa nchini wana zaid ya kilometer 5 na kuendelea.
picha ya kwanza ni Mwenyekiti wa kijiji cha sagara akiwa kambemba
mwanafunzi wakati tumefanya ziara ya kilimo kwanza kijijin hapo sagara mkoa wa singida.
 






 

No comments:
Post a Comment