Habari Mpya :
Home » » UCHUMI AFRIKA MASHARIKI NA RECORD YA UTAJILI AFRIKA

UCHUMI AFRIKA MASHARIKI NA RECORD YA UTAJILI AFRIKA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, April 11, 2013 | 8:58 AM

MPAKA MWISHO WA MWAKA JANA KATIKA RECORD ZA FORBES
TUMEPATA KUJUA KWAMBA SALIM BAKHRESA AMBAYE NI
MFANYA BIASHARA MKUBWA BARANI AFRIKA KWA UMAARUFU WA UUZAJI
WA UNGA WA NGANO NA BIASHARA YA MAFUTA YA PETROL.BAKHRESA
AMBAYE KWA SASA ANAUMRI WA MIAKA 64 AMBAYE NI MJASIILIA MALI ALIYE KATAA SHULE
AKIWA NA MIAKA 14 NA KUJIKITA KATIKA BIASHARA NDOGO LAKIN MPAKA LEO HII ANAMILIKI
COMPUNI YAKE INAYOONGOZWA NA WANAE IKIITWA BAKHRESA GROUPP YENYE ZAID YA WAFANYAKAZI
2000.KATIKA LIST YA MATAJIRI AFRIKA SALIM BAKHRESA NI TAJIRI WA 30 KATI YA 40 AMBAPO ANAUTAJILI
WA ZAID YA $520 MILLION.....As tanzanians we are so proud of that,,,

SALM BAKHRESA Dir:Bakhresa Group
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania