Habari Mpya :
Home » » CARLOS TEVEZ KAPATA ADHABU BAADA YA KUENDESHA GARI BILA LESSEN WALA BIMA

CARLOS TEVEZ KAPATA ADHABU BAADA YA KUENDESHA GARI BILA LESSEN WALA BIMA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, April 5, 2013 | 7:26 AM

KIUNGO MATATA KABISA NA KIPENZI CHA MASHABAKI WENGI AMBAYE NI MCHEZA WA CLUB BINGWA YA ULAYA MANCHESTER CITY CARLOS TEVEZ.TEVEZ AMBAYE KWA WEEK ANAPOKEA ZAID YA £196000 JUZI ALIHUKUMIWA KIFUNGO CHA MASAA 250 NJE YA UWANJA NA KUPIGWA FINE YA £1,149..

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania