kwa jila la GODFATHER.
Godfather production ni kampuni kubwa nchini nigeria na southafrika iliyopata umaaraufu mkubwa sana katika uandaaji wa video za wasanii maarufu na wakubwa afrika pamoja na afrika ya kusini toka Nigeria wakiwemo Psquare na kibao chao cha Do me cha mwaka 2009 pamoja na 2face Idibia na wengine wengi sana..
MICHAEL UCHE OGEKO,mwenyekiti na mmiliki mkuu,muandaaji na muongozaji katika
kazi nzima ya kuandaa Video na mambo mbalimbalia katika kampuni yake iyo ya GODFATHER.Michael Uche ogeke ni mfanyabiashara mkubwa mwenye malego ya kuliweka bara la afrika katika raman ya dunia
na kutoa ajira kwa waafrika wengine.


No comments:
Post a Comment