Habari Mpya :
Home » » UYU NDO MICHAEL UCHE MMILIKI WA GODFATHER LABLE

UYU NDO MICHAEL UCHE MMILIKI WA GODFATHER LABLE

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, June 28, 2013 | 11:24 AM

Godfather ni Chapa ya kampuni inafanya Vizuri katika katika ulimwengu wa utengenezaji wa Video na pia katika kutengeneza matangazo ya vipindi nya Television Nchini Nigeria.Michael Uche akiwa ndo GODFATHER mwenyewe mmiliki wa kampuni iyo mtayarishaji na kiongozi katika kazi zote zinazousiana na utengenezaji na kuandaa video mbalimbali.Michael Uche ni mfanya Biashara mashuhuri ambaye jicho lake la tatu ni kuona Afrika inafika pale inapotakiwa kuwa na pia kuongeza ajira nyingi za waafrica na kuakikiasha Africa inaingia katika Ramani ya Dunia katika tasnia ya music na Video zake...
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania