Toka southafrika ambapo baraka Obama rais wa marekani katika ziara yake ya kutembelea nchi tatu africa jana aliingia nchini hapo na kupokelewaa na mwenyeji wake Rais Jocob Zuma na mkewe Tobeka Zuma ambapo Baraka Obama pia ameongozana na familia yake mke wake Michelle Obama na wanae Malia na Sasha.Obama katika kuutambua umuhimu wa Nelson Mandela imembidi atembelee soweto ambako ndo chimbuko la wapiganiaji uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi ambapo Mandela alikuwa uko mwaka 1942.Pia baada ya hapo alikwenda geraza alipofungwa mandela mnano mwaka 1962 mpaka mwaka 1990.Na pia Obama aliwaambia wasouth wote kwamba Upendo na moyo wa kuwaokoa wasouthafrika wote unampa heshima kubwa rais uyo wa zamani na baba wa Taifa la Southafrika.


No comments:
Post a Comment