Habari Mpya :
Home » , , » MKE WA MANDELA GRACA MACHEL/MASHERI APOKEA POLE YA OBAMA

MKE WA MANDELA GRACA MACHEL/MASHERI APOKEA POLE YA OBAMA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, June 29, 2013 | 11:34 PM

Imeripotiwa na jarida moja nchini southafrika kwamba Rais obama hakuweza kwenda kumuona Rais mstaafu Nelson Mandela ambaye sasa ni wiki ya tatu akiwa kalazwa mjini pretoria katika hospital ya Medclini Heart hospital akisumbuliwa na matatizo ya upumuaji katika mapafu.Graca Machel ambaye ndo mke wa Nelson Mandela amesema japo amefarijika sana baada ya Rais Baraka obama kukutana na familia ya Nelson Mandela na kuwapa pole na kuwatia moyo na kwamba japo hakuweza kumuona Madiba lakin ametupa nguvu na kutufariji kama Familia.Graca akiwa mke wa Tatu wa rais uyo wa zamani amesema atafikisha pole izo za Baraka Oba kwa Madiba.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania