Habari Mpya :
Home » » PROFFESSOR LIPUMBA AZUNGUMZIA UJIO WA RAIS OBAMA TANZANIA JULY MOSI 2013

PROFFESSOR LIPUMBA AZUNGUMZIA UJIO WA RAIS OBAMA TANZANIA JULY MOSI 2013

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, June 30, 2013 | 4:43 AM




Mtaalamu wa maswala ya uchumi tanzania na dunia mheshimiwa proffessor ibrahim lipumba amezungumza apo jana kuhusu ujio wa rais wa marekani baraka obama nchini tanzania ifikapo july mosi 2013.Proffessor amesema rais baraka ataingia tanzania july mosi akitokea afrika ya kusini ambapo ni moja ya ziara yake afrika iliyoanzia nchin senegal,afrika ya kusin na atamalizia Tanzania.Amesema rais obama katika ziara yake ameongozana na wanyabiashara wakubwa toka marekani ivyo itakuwa ni fursa kwa tanzania kupata nafasi ya kuzungumzia maswala ya uwekezaji katika sector tofauti.pia amesema sababu kubwa ya obama kuja Tanzania ni ppamoa na kukuza mahusiano kati ya nchi izo mbili katika maswala ya Biashara na pia kukuza sector ya nishati.Amesema pia ingiwa ni bahati kubwa kwa rais obama kama angetembelea mbuga zetu ingesaidia pia kutangaza nchi yetu kimataifa zaid ila obama hatotembelea
mbuga.Obama pia ataongozana na waandishi wa habarii wengi sana ivyo pia itakuwa ni fursa kubwa kwa tanzania kujitangaza kimataifa na pia amesema sector ya nishati  ndo itappewa kipaumbele zaid.....

watanzania kwa pamoja na sauti kubwa wanasema KARIBU TANZANIA OBAMA.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania