Home »
News
» MFALME MSWATI WA PILI KUFUNGUA MAONYESHO YA SABASABA KESHO.
MFALME MSWATI WA PILI KUFUNGUA MAONYESHO YA SABASABA KESHO.
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, June 30, 2013 | 11:08 AM
Imeripotiwa leo na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Said meck sadiki kwamba maonyesho ya sabasaba yanatarajia kufunguliwa kesho rasmi na mfalme mswati wa pili ndo anatarajiwa kufungua maonyesho ayo ya kimataifa kesho jijini dar es salaam.
No comments:
Post a Comment