Habari Mpya :
Home » » JOHN ADAMs MCHORAJI ALAIYE CHORA PICHA YA MANDELA SIKU YA KUADHIMISHA MIAKA 95 YA KIONGOZI UYO

JOHN ADAMs MCHORAJI ALAIYE CHORA PICHA YA MANDELA SIKU YA KUADHIMISHA MIAKA 95 YA KIONGOZI UYO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, July 26, 2013 | 8:18 AM



Imeelezwa kwamba wakati maandalizi  ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa Nelson Mandela uku akitimiza umri wa miaka 95 july 18 mwaka 2013 uko nchini afrika ya kusini ilikuwa ni furaha kubwa hasa kwa kila mtu lakini kwa upande wa wachoraji mashuhuri nchini apo kwao walitumia furaha yao katika kuzichora picha mbalimbalia za mkombozi uyo wa ubaguzi wa rangi nchini umo na katika wote waliochora John Adams mchoraji toka afrika ya kusini ndo aliyechora picha kubwa katika ukuta wa nyumba ya Mandela katika kitongozi cha mji wa Johannesburg.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania