Habari Mpya :
Home » , , , » MTAA WA MANDELA VILIKAZI SOWETO WAGEUKA MJI WA KISASA

MTAA WA MANDELA VILIKAZI SOWETO WAGEUKA MJI WA KISASA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, July 26, 2013 | 8:49 AM




Soweto mji ulionje kidogo ya jiji la Johannesburg, mji ambao inajulikana ndo mji wa watu wehusi na  ni mji unaojulikana kwamba ndo mji ulitengeneza heshima ya afrika ya kusini ya leo hii,mji ambao ndo chaachu ya wapambanaji na wapingaji wa ubaguzi wa rangi uliokuwa unafanywa na wakoloni wa kikaburu nchini umo miaka iliyopit.Soweto mji wenye historia kubwa katiika kumbukumbu za waafrika wa afrika ya kusini kwamba ndo chimbuko la waafrika ya kusini wote hasa watu wahusi na kwamba ndo mji walipoishi wapigananaji na ndo mji ambako mapambano ya kumuondoa mkaburu yalifanyika na yale maandamano ya kutaka mandela aachiwe toka gerezani.Vilikazi ndo mtaa alipoishi maandela miaka 60 iliyopita wakati wa harakati za mapinduzi ivyi leo mtaa huo umebolezwa na kuwa kitovu cha watarihi wanaokuja kutembea nchini afrika ya kusini na kutaka kujua alikaa mandela.imeelezwa mtaa huo kwa sasa umejengwa katika hadhi ya jiji unamvuto kiasi kwamba umeelezwa kuwa tawi la afrika ya kusini mpya kwa sababu ya watarihi wengi kwenda apo majengo ya kumbukumbu za kale ya mandela ambayo yamechorwa kwa ustadi mzuri sana pia kuna migahawa mbalimbali imejengwa na kuufanya mji huo kuonekana afrika ya kusini ya sasa japo kuwa imeelezwa bado janga la wasiokuwa na kazi na vibaka bado lipo palepale.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania