Rais wa zamani nchini afrika Nelson Mandela akiwa bado kitandani hospitali mjini PRETORIA taarifa zimeripotiwa kwamba maandalizi ya kusherehekea mazazi yake miaka 95 Iliyopita zimeanza kufanyika apo jana na kesho ndo siku na tarehe rasmi ya kusherehekea siku ya kuzalia Nelson mandela na mkombozi wa taifa la afrika ya kusini.Imeelezwa kwamba katika sherehe izo kauli mbiu ni kila mtu anahaki ya kupata chakula,maradhi Na elimu.Pia imeelezwa kwamba Rais jacob Zuma kesho atatembelea familia maskini za watu weupe wanaoishi mjini pretoria mji aliolazwa Nelson Mandela akisumbuliwa na matatizo ya upumuaji katika mapafu..


No comments:
Post a Comment