Habari Mpya :
Home » » NDILEKA MANDELA AZUNGUMZA KWA UCHUKU KUHUSU MIGOGORO YA FAMILIA KATIKA MAANDALIZI YA MIAKA 95 YA KUZALIWA MANDELA

NDILEKA MANDELA AZUNGUMZA KWA UCHUKU KUHUSU MIGOGORO YA FAMILIA KATIKA MAANDALIZI YA MIAKA 95 YA KUZALIWA MANDELA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, July 17, 2013 | 8:43 AM

Ndileka ambae ni mwijukuu wa mandela amezungumza kwa maumivu makubwa kuhusu migogoro ya familia iliyosababishwa na swala la mwijukuu wa mandela wa kiume Mandla kuhamisha makaburi ya watoto wa mandela toka mjini Qunu na kuyapeleka napoishi yeye Mvezo.Mandla ambae poa ni Mtemi wa kimila wa Mvezo ambae baba yake mzazu alifariki mwaka 2005 kwa ukimwi ameleta mchafuko mkubwa katika familiavya mandela baada ya kufanya tendo ilo bila kumshirikisha mtu yeyote na akiwa na nia kwamba ata mandela atakapofariki basi akazikwe Mvezo.Kwa uchungu mkubwa Ndileka Mandela kasema aliweza kumsamee Mandla mwaka 2011 alipofanya jambo iloilo na kwama wanasema Familia ni familia na kwamba Damu nziti kuliko maji lakin amesema hawezi kutomsamehe kama ndugu yake lakin kwa sasa ni maumivu ya ilo tendo alilofanya ndugu yake..Kesho ndo Rais msaafu atakuwa anatimiza miaka 95 ambapo alizaliwa 18/07/1918..
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania