Toka johannesburg afrika ya kusini mnamo Tarehe 30June 2013 waumini walionekana juu ya kilima mbali kidogo na mjji wa Johannesburg wakifanya ibada mbalimbali.Sababu kubwa iliyowafanya kuchagua eneo ilo ni kwamba ni vyema kufanya maombi juu ya kilima ili kuweza kuongea na mungu wakiwa na imani ya mtume MUSA aliyekuwa na desturii ya kuzungumza na mungu kwa kupanda kilimani.Wakiendelea kueleza walisema wamefanya ivyo pia ili maombi yao ya kumuombea Nelson mandela ambae yuko mahututi hospitali mjini pretoria akisumbuliwa na matatizo ya upumuaji katika mapafu.
MOJA KATI YA IBADA ZILIZOFANYWA KUMUOMBEA NELSON MANDELA NI HII HAPA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, July 26, 2013 | 7:54 AM
Toka johannesburg afrika ya kusini mnamo Tarehe 30June 2013 waumini walionekana juu ya kilima mbali kidogo na mjji wa Johannesburg wakifanya ibada mbalimbali.Sababu kubwa iliyowafanya kuchagua eneo ilo ni kwamba ni vyema kufanya maombi juu ya kilima ili kuweza kuongea na mungu wakiwa na imani ya mtume MUSA aliyekuwa na desturii ya kuzungumza na mungu kwa kupanda kilimani.Wakiendelea kueleza walisema wamefanya ivyo pia ili maombi yao ya kumuombea Nelson mandela ambae yuko mahututi hospitali mjini pretoria akisumbuliwa na matatizo ya upumuaji katika mapafu.

No comments:
Post a Comment