Habari Mpya :
Home » » MBAKAJI MAARUFU AFRIKA YA KUSINI AKUTWA KAJINYONGA MAABUSU KABLA YA KUFIKISHWA KIZIMBANI

MBAKAJI MAARUFU AFRIKA YA KUSINI AKUTWA KAJINYONGA MAABUSU KABLA YA KUFIKISHWA KIZIMBANI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, July 26, 2013 | 7:27 AM


 


Imeripotiwa kwamba mwanaume aliyekadiliwa kuwa ndo mwenye kesi nyingi za na aliyewahi kufanya vitendo vingi vya ubaakaji nchini afrika ya kusini amekutwa kafariki  maabusu kabla ya kusimamishwa kizizmbani kwa ajili ya kusomewa mastaka yanayomkabili.Sifiso Makhubo mwenye umri wa miaka 42 alitakiwa kukabiliwa na kesi ya kubaka watoto 32.Pia imeelezwa mbali na ubakaji Sifiso alikuwa na akesi zinazomkabili 122 zikiwemo za kuua,kubaka,kukaba na zile za kuwaambukiza anaobaka virusi vya ukimwi.
Imedaiwa kwamba Makhubo anaweza akawa alijinyonga kwa blanketi lake lakini bado askari wanafanya uchunguzi kujua amejiua kwa kutumia nini.Kituo cha television nchini apo cha ENCA kimeripoti kwamba walishitaki wameudhulia mahakamani kusubili hukumu ya itakayomkabili Makhubo bila ya kujua kwamba mtun uyo alishajinyonga tayari.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania