Toka nchini zimbabwe ikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi wa rais zimetoka shutuma kubwa za muwakilishi wa rais wa afrika ya kusini Jacob zuma nchini zimbabwe ambapo zuma ndo aliyekuwa msimamizi wa maswala ya uchaguzi nchini umo kablavya kuwa rais.Apo awali mugabe ambae anawania kiti cha urais akiwa na mpinzni wake na amvae wameongoza serikali moja toka mwaka 2009 bwana morgan kwamba muwakilishi uyo wa zuma Ms Zulu hamtambui na kwamba anamuomba jacob Zuma amzuie uyo muwakilishi wake aache kutoa comments katika maandalizi ya uchaguzi huo wa zimbabwe.Imeelezwa kwamba awali Ms Zulu amewahi kutaka kuhailisha uchaguzi huo mpaka July 31 kutikana na Rais Mugabe kumuita mpuuzi na mjinga na kwa upande ofisi ya rais afrika kusin imetoa tamko kwamba comments zilizotolewa hazikuwa sahihi na wala hazikuonyesha jina la muwakilishi uyo.Moja kati ya comments za uchaguzi zinazoelezwa na mugabe dhidi ya Ms Zulu ni kusema kwamba maandalizi ya uchaguzi hayakuwa mazuri ivyo akitaka kusogeza tarehe mbele.Huu ndo uchaguzi utakaokuwa wa kwanza toka usuluhisho wa jacob Zuma juu ya matatizo ya uchaguzi toka mwaka 2009 mpaka sasa.Mugabe kwa upande wake amesema hamtambui Ms Zulu na kwamba sauti anayoitambua ya mwisho ni rais Zuma na kwamba yeye anajiamin atashinda..
No comments:
Post a Comment