Habari Mpya :
Home » » FILAMU YA KWANZA KUZINDULIWA SINGIDA JUMAMOS HII

FILAMU YA KWANZA KUZINDULIWA SINGIDA JUMAMOS HII

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, August 29, 2013 | 8:07 AM

Ni benno production toka singida chini ya uongozi wa muongozaji na mtengenezaji wa Filamu Tanzania mwenye makazi yake mkoan singida Gerald Sebastian wanakuletea Movie mpya ya CIRCLE OF LOVE.Circle of love ni Filam ya kwanza kutengenezwa mkoan singida.Filam hii yenye mafundisho mengi ndani yake inatalajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 31 jumamos hii katika ukumbi wa sky night club mkoan singida na ambapo mgeni rasmi atakuwa mkuu wa mkoa Mh:Konne na baadhi ya wabunge lazaro nyarandu na wengineo.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania