Hizi ni baadi ya ya picha zinazoonyesha sehemu ya nchi iliyoathirika na tetemeko kubwa la aradhi lilitokea juzi july 22/2013 tetemeko ni katika provence ya Gansu nchini chinia ambalo limekaadidiliwa kuwa na ukubwa wa 6.6 magnitude.Imeripotiwa kwamba mpaka sasa idadi ya watu waliopoteza maisha imefikia 95 na bado zoezi la kuwatoa watu waliofunikwa na kifusi linaendelea.
Haya ni maafa makubwa yaliyosababishwa na tetemeko ilo kubwa apo juzi katika Gansu Provence
kikosi cha polise wa wakiendelea ma zoez la kuwaokoa au kutoa milli wa watu walionaswa na kifusi


No comments:
Post a Comment