Kiongozi uyo nguri wa masuala ya siasa nchini uganda na mpinzani mkubwa wa rais Toweri Mseven
bwana kizza besigye apo juzi imeripotiwa kakamatwa tena na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kile kilichoeleza kwamba alikuwa na njama za kuanzisha vurugu za maandamano kutokana na Kodi iyowekwa juu ya mabomba ya maji na mafuta ya taa.Imeelezwa kwamba week vyama vya upinzani nchini umo vilikuwa na lengo la kufanya maandamano ya kupinga kodi iyo na kwamba kabla tendo ilo lifanyike askari waliweza kumkamata kiongozi uyo ili kusitisha maandamano ayo.kaimu wa polise Patrick Onyango amesema sheria inaturuhusu kumkamata yeyote atakayetaka kuvunja amani.Besigye ambaye tangu 2011 amekuwa akionekana mshindi hasa katika maandamano yoyote yale hasa baada ya kuonekana mshindi wa uchaguzi wa urais wa mwaka 2011 kimempelekea kuwa katika uangalizi mkubwa sana kutokana na kukubalika na wengi nchini Uganda.


No comments:
Post a Comment