Habari Mpya :
Home » , , » THABO MBEKI ASEMA MANDELA ANAWEZA RUHUSIWA KURUDI NYUMBANI MUDA SI MREFU

THABO MBEKI ASEMA MANDELA ANAWEZA RUHUSIWA KURUDI NYUMBANI MUDA SI MREFU

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, July 27, 2013 | 4:03 AM


The former president says Madiba's doctors are doing a good job. (Skyler Reid, M&G)




Rais wa zamani wa afrika ya kusini bwana Thabo Mbeki amevieleza vyombo vya habari kwamba  joho la madaktariwamesema afya ya mandela imeanza kurudi katika hali ya kawaida japo bado yukokitandani ila kazi nzuri ya kunusuru maisha yake imefanyika.Akieleza Mbeki amesema mandela ambae mpaka jumapili alikuwa kafikisha siku 37 tangu alazwe hospitali ya Medclinic mjini pretoria tangu tarehe 8 june 2013 akisumbuliwa na matatizo ya upumuaji katika mapafu ivyi sasa afya yake imeanza kuwa sawa na kwamba yuko salama japo bado yuko kitandani na muda si mrefu anaweza ruhusiwa kurudi nyumbani kwake alisema THABO MBEKI.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania