Apo jana uchaguzi wa kumchagua Rais na wabunge umefanyika tena kwa amani baada ya ule wa maika mitano iliyopitaa baada ya fujo kutokea na watu kupoteza maisha katika uchaguzi huo. RaisRobert Mugabe ana waziri Mkuu Morgan Tsvangiraiwakiwa ndo wagombea wapinzani wa kiti cha urais.Imeripotiwa kwamba hali ya hewa ya upigaji kura apo jana umekwenda vizuei na kwamba uchaguzi wa mwaka huu kwa ujumla umeenda kwa amani kuanzia kampeni zenyewe zilifanywa kwa amani japo matukio ya kawaida yanahusiana na vitendo vya rushwa pamoja na wizi wa kura.
Katika Mji mkuu wa Harare watu walijitokeza kwa wingi katika kufanya tendo ambalo ni haki ya kila mzimbabwe na pia imeelezwa kwamba zoez zima kwa ujumla limefanyika kwa amani na limekuwa tumaini kubwa kwa kila mzimbambwe kwamba laweza leta matunda mazuri katika maisha yao yajayo.
Wagombea Kiti cha Urais


No comments:
Post a Comment