Apo karibuni baada ya Dj Khaleed kutangaza kupitia vyombo vya habarii kwamba anampenda mwanadada ambae ni mkali wa miondoko ya ya HipHop kwamba anampenda na kwamba anaomba awe mke wake uku akionyesha Pete ya uchumba yenye thamani ya zaid ya USD$500,000. wengi wakkiwa wanasubili jibu la Nicki minaji atazungumza nini kuhusu swala ilo jibu limeppatikana na kuwaacha wengii wakishangaa Dj Khaleed amefanya ivyo kutambulisha kibao chake kiitwacho I WANNA BE WITH U akiwa kamshirikisha Nicki minaji na mkali Rick Ross


No comments:
Post a Comment