Habari Mpya :
Home » , , » MUGABE ASHINDA TENA UCHAGUZI WA RAIS ZIMBABWE APO JANA

MUGABE ASHINDA TENA UCHAGUZI WA RAIS ZIMBABWE APO JANA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, August 4, 2013 | 6:33 AM

Toka zimbabwe imeripotiwa jana kwamba Rais Robert Mugabe ameshinda kwa hawamu nyingine Kiti cha urais na kumshinda mpinzani wake mkubwa Morgan Tsvangirai kwa asilimia 61 za kura zote zilizopigwa mwishooni mwa mwezi July.Robert Mugabe amekamata kiti cha urais tangu walipofukuzwa wazungu mwaka 1980 na kwa ushindi alioupata tena umemuwezesha kuwa na madaraka yote ya urais na hakutokuwa na serikali ya mseto tena ambayo imekuwepo kwa miaka mitano iliyopita akishirikiana na mpinzani wake Morgan Tsvangirai.Mugabe ambae alizaliwa mnamo ferbruary 21,1924 uko kutama ambao sasa ndo harare mji mkuu wa zimbabwe amekuwa rais kwa miaka 33.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania